Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HAASSAN AKIAGANA NA MGENI WAKE RAIS WA JAMHURI...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HAASSAN AKIAGANA NA MGENI WAKE RAIS WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO MHE. FELIX ANTONE TSHISEKEDI TDHILOMBO KWENYE UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SAALAAM

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsindikiza mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo, kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam baada ya kukamilisha ziara nchini Tanzania tarehe 24 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo, wakisalimiana na Viongozi mbalimbali kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam wakati Rais Tshisekedi alipokuwa akiondoka baada ya kukamilisha ziara yake Tanzania tarehe 24 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo, kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam baada ya kukamilisha ziara yake Tanzania tarehe 24 Oktoba, 2022.