Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA TOTAL ENERGIES KATIKA...

RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA TOTAL ENERGIES KATIKA MASUALA YA UTAFITI NA UZALISHAJI, NICOLA TERRAZ, IKULU CHAMWINO DODOMA 

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya kuwasili pamoja na ujumbe wake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Kampuni ya TotalEnergies katika masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Oktoba, 2022.