Home BUSINESS NSSF YASOGEZA HUDUMA KATIKA MAONESHO YA MADINI GEITA

NSSF YASOGEZA HUDUMA KATIKA MAONESHO YA MADINI GEITA

Mkuu wa Mkoa wa Geita ,Mhe.Martine Shigela tarehe 2 Oktoba ,2022 ametembelea banda la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwenye Maonesho ya Tano ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea katika viwanja wa uwekezaji (EPZA) Mkoani Geita ,ambapo pamoja na mambo mengine Mkuu huyo wa Mkoa alitoa pongezi kwa NSSF kuwa mdau mkubwa wa sekta ya madini kwa kuhakikisha wanatoa elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa wananchi wakiwemo wachimbaji wadogowadogo wa madini ili waweze kujiunga na kuchangia hivyo uwepo wa Mfuko katika Maonesho hayo inadhihirisha ni jinsi gani NSSF inafikia makundi mbalimbali.

Previous articleKUTOKA MAGAZETINI ASUBUHI YA LEO JUMATATU OCTOBA 3-2022
Next articleRC SHIGELA ATEMBELEA BANDA LA BoT MAONESHO YA MADINI GEITA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here