Home LOCAL KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM CHAFANYIKA KISIWANDUI ZANZIBAR

KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM CHAFANYIKA KISIWANDUI ZANZIBAR

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakati alipowasili  viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo.[Picha na Ikulu] 20 Oct 2022.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Leila Burbani (Ngozi) pamoja na Viongozi wengine  alipowasili  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, kuongoza   Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo.[Picha na Ikulu] 20 Oct 2022.
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika Leo chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20 Oct 2022.
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimkaribisha Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Mwenyekiti wa Kikao hicho alipoingia na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hawapo pichani)  katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar kabla kuanza kwa Kikao  kilichofanyika Leo.[Picha na Ikulu] 20 Oct 2022.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia)  Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla (kushoto) na Naibu Katiu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Adalla Juma SadalaMabodi (kulia) wakiwa  katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar kabla kuanza kwa Kikao  kilichofanyika Leo.[Picha na Ikulu] 20 Oct 2022.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akiweka sawa vitendea kazi  kabla kufungua Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar  kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar (kushoto)Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla (kushoto) na Naibu Katiu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Adalla Juma Sadala Mabodi (kulia) .[Picha na Ikulu] 20 Oct 2022.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia)  alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar alipokifungua  leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar (wa pili kushoto).Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kushoto) na Naibu Katiu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Adalla Juma Sadala Mabodi.[Picha na Ikulu] 20 Oct 2022.
Baadhi ya Wenyeviti wa Mikoa ya CCM na Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakipitia mada zilitakazojadiliwa katika kikao hicho kilichofanyika Leo chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20 Oct 2022.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wakiwa katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakipitia mada zilitakazojadiliwa katika kikao hicho kilichofanyika Leo chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20 Oct 2022.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  alipokuwa akiteta jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika  leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 20 Oct 2022.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wakiwa katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakipitia mada zilitakazojadiliwa katika kikao hicho kilichofanyika Leo chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 20 Oct 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here