Home SPORTS DUBE APELEKA KILIO SIMBA 

DUBE APELEKA KILIO SIMBA 

Na Mwandishi Wetu

DAKIKA 90 Zzimekamilika kwa Azam Fc kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Katika dakika ya 36 mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube alipeleka majozi kwa kikao cha Simba bao ambalo limedumu katika dakika 90.

Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 14 katika mchezo wa nana na kusogea nafasi ya nne, ikizidiwa wastani wa mabao tu na Simba SC ambayo pia ina mechi moja mkononi.

Mabingwa watetezi, Yanga wanaendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi zao 17 za mechi saba, wakifuatiwa na Mtibwa Sugar yenye pointi 15 za mechi tisa.

Previous articleWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DKT. CHANA AITAKA AFRIKA KUBORESHA SEKTA YA UTALII BAADA YA UVIKO-19
Next articleSAMIA AONESHA UONGOZI WENYE SURA YA BINADAMU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here