Home Uncategorized DAWASA YAKAMILISHA MATENGENEZO YA MABOMBA YALIYOPASUKA KATIKA KISIMA CHA NZASA

DAWASA YAKAMILISHA MATENGENEZO YA MABOMBA YALIYOPASUKA KATIKA KISIMA CHA NZASA

Kazi ya matengenezo ya kubadilisha bomba zilizopasuka katika kisima cha Nzasa kilichopo kata ya Kibugumo,wilaya ya Temeke kinachohudumia maeneo ya Nzasa, Chama na Kilungule ikitekelezwa na Mafundi wa DAWASA. Matengenezo hayo yamefanyika kwa lengo la kuboresha huduma ya maji kwa maeneo yanayohudumiwa.

Matengenezo yamekamilika na huduma imeimarika.

Visima vifupi ni moja ya vyanzo vya maji vinavyotegemewa na DAWASA kuhudumia wananchi katika maeneo yaliyopo pembezoni.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here