Home LOCAL DAWASA YAENDELEA KUTOA HUDUMA YA KUSAMBAZA MAJI MAGOMENI

DAWASA YAENDELEA KUTOA HUDUMA YA KUSAMBAZA MAJI MAGOMENI

Zoezi la utoaji na ugawaji wa vifaa vya maunganisho ya huduma kwa wateja wa maeneo ya Ubungo, Mabibo, Tandale, Magomeni Kagera, Kigogo, Ndugumbi, Mianzini na Sinza likiendelea kupitia Ofisi ya Mkoa wa kihuduma DAWASA Magomeni.

Zoezi hili litanufaisha wateja takribani 21 watakaonufaika na huduma ya maji.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here