Home LOCAL DAWASA YAANZA UTEKELEZAJI MRADI WA KUBORESHA HUDUMA ZA MAJI DAR

DAWASA YAANZA UTEKELEZAJI MRADI WA KUBORESHA HUDUMA ZA MAJI DAR

Wananchi wa maeneo ya Kisanga, Kilimahewa, Muungano, Kinzudi, Majengo, Salasala, Muungano na Mivumoni waliokamilisha taratibu za kupata huduma ya maji wakipata vifaa katika Mkoa wa kihuduma DAWASA Mivumoni.

Mradi huu ni sehemu ya utekelezaji wa uboreshaji huduma ya maji kutoka Bagamoyo hadi Makongo unaotegemea kukamilika mwezi Disemba 2022.

Previous articleMAGAZETI YA LEO JUMATANO OKTOBA 19-2022
Next articleZAIDI YA WADAU 500 WAJISAJILI KUSHIRIKI WIKI YA AZAKI 2022 JIJINI ARUSHA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here