Home LOCAL BALOZI MULAMULA: UMOJA, USHIRIKIANO, MSINGI IMARA YA UHUSIANO

BALOZI MULAMULA: UMOJA, USHIRIKIANO, MSINGI IMARA YA UHUSIANO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amesisitiza umoja na ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu ya kibalozi kama msingi imara wa uhusiano baina ya taifa moja na jingine.

Balozi Mulamula ametoa kauli hiyo Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Septemba 2022 katika hafla fupi ya kumuaga Balozi wa DRC Mhe. Jean Pierre Mutamba aliyemaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here