Home LOCAL MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA BALOZI WA COMORO OFISI...

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA BALOZI WA COMORO OFISI ZA CCM LUMUMBA DSM

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana (kulia) akizungumza na, Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk. Ahamada El Badaoui Mohamed (kushoto) alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 11, 2022.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana (kulia) akiagana na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk. Ahamada El Badaoui Mohamed (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 11, 2022.