Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO Dkt. Venance Mwase akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Mh.Martine Shigela kando ya mtambo wa kisasa wa Uchorongaji na utafiti wa madini wakati mkuu wa mkoa huyo alipotembelea maonesho ya Madini mkoani Geita STAMICO inashiriki katika maonesho hayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO Dkt. Venance Mwase akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Mh.Martine Shigela kando ya mtambo wa kisasa wa Uchorongaji na utafiti wa madini wakati mkuu wa mkoa huyo alipotembelea banda la STAMICO Katika maonesho ya Madini mkoani Geita , STAMICO inashiriki katika maonesho hayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO Dkt. Venance Mwase akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Mh.Martine Shigela namna Sampuli za utafiti wa Madini zinavyokuwa baada ya Uchorongaji na utafiti wa madini kufanyika wakati mkuu wa mkoa huyo alipotembelea banda la STAMICO Katika maonesho ya Madini mkoani Geita STAMICO pia inashiriki katika maonesho hayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO Dkt. Venance Mwase akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Mh.Martine Shigela kuhusu Mkaa mbadala unaotengenezwa kwa Makaa ya Mawe wakati mkuu wa mkoa huyo alipotembelea banda la STAMICO Katika maonesho ya Madini mkoani Geita STAMICO inashiriki katika maonesho hayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO Dkt. Venance Mwase akimkabidhi zawadi mbalimbali Mkuu wa Mkoa wa Geita Mh.Martine Shigela baada ya kutembelea banda la STAMICO Katika maonesho ya Madini mkoani Geita STAMICO inashiriki katika maonesho hayo.
Martine Shigela ameipongeza Shirika la Madini Tanzania STAMICO Kwa Kununua mitambo hiyo ya kisasa Kwa ajili ya uchorongaji na utafiti wa madini kwakuwa italeta ufanisi mkubwa Katika sekta ya madini hasa ukizingatia kwamba sekta hiyo imekuwa ikifanywa Kwa Teknolojia na vifaa vya kisasa ili kurahisisha kazi ya Uchimbaji na kuleta ufanisi Katika uzalishaji wa madini.