Home LOCAL WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA NDUGU JAMES MBATIA JIJINI DAR

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA NDUGU JAMES MBATIA JIJINI DAR

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Ndugu. James Mbatia, wakati walipokutana katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Ndugu. James Mbatia, wakati walipokutana katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Agosti 25 2022.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here