Home Uncategorized RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WATANZANIA WANAOISHI NCHINI MSUMBIJI

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WATANZANIA WANAOISHI NCHINI MSUMBIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania Wanaoishi nchini Msumbiji (Diaspora) katika Jiji la Maputo tarehe 22 Septemba, 2022.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi nchini Msumbiji mara baada ya kuzungumza nao katika Jiji la Maputo tarehe 22 Septemba 2022