Home LOCAL RAIS SAMIA ASAFIRI KWA MELI KUTOKA ZANZAIBAR KWENDA DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA ASAFIRI KWA MELI KUTOKA ZANZAIBAR KWENDA DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiingia ndani ya Meli ya Kilimanjaro 4 kutoka Bandari ya Malindi Zanzibar wakati alipokuwa akielekea Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania cMhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Abiria na Wananchi mbalimbali aliosafiri nao kwa Meli ya M.V Kilimanjaro 4 alipokuwa akiondoka katika Bandari ya Malindi Zanzibar akielekea Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu kwenye Meli ya Kilimanjaro 4 alipokuwa akiondoka katika Bandari ya Malindi Zanzibar akielekea Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Septemba, 2022.
Previous articleKATAMBI AZINDUA ALBAMU YA TENDA WEMA YA SALOME NTALIMBO
Next article
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here