Home LOCAL RAIS SAMIA AKABIDHIWA FUNGUO NA NYRAKA NYINGINE UKIWA NI ISHARA YA KUWA...

RAIS SAMIA AKABIDHIWA FUNGUO NA NYRAKA NYINGINE UKIWA NI ISHARA YA KUWA NA HAKI YA UKAAZI KATIKA JIJI LA MAPUTO MSUMBIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kukabidhiwa funguo pamoja na nyaraka nyingine kama ishara ya Ukaazi kwenye Manispaa hiyo nchini Msumbiji tarehe 22 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea funguo pamoja na nyaraka nyingine kutoka kwa Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Maputo Mhe. Eneas Comiche kama ishara ya kuwa na haki ya Ukaazi kwenye Manispaa hiyo nchini Msumbiji tarehe 22 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Maputo Mhe. Eneas Comiche mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Manispaa hiyo nchini Msumbiji tarehe 22 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Maputo Mhe. Eneas Comiche pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kutembelea Ofisi hizo nchini Msumbiji tarehe 22 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Maputo Mhe. Eneas Comiche mara baada ya kutembelea ofisi hizo nchini Msumbiji tarehe 22 Septemba, 2022.

Previous articleMAKAMU WA RAIS AHUTUBIA MKUTANO WA GLOBAL FUND
Next articleBUNGE LAPITISHA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA MBALIMBALI ZA FEDHA WA MWAKA 2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here