Home LOCAL RAIS SAMIA AHUTUBIA KWENYE HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA WA USIMAMIAJI WA...

RAIS SAMIA AHUTUBIA KWENYE HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA WA USIMAMIAJI WA SHUGHULI ZA LISHE (TAMISEMI) JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili Mtumba kwa ajili ya kushiriki hafla ya uwekaji wa saini Mikataba ya Usimamiaji wa Shughuli za Lishe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala pamoja na Watumishi wa Serikali mara baada ya kuweka saini Mikataba ya Usimamiaji wa Shughuli za Lishe katika hafla iliyofanyika  leo Septemba 30,2022 jijini  Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa TAMISEMI Innocent Bashungwa mara baada ya kuzindua mpango wa ugawaji wa magari pamoja na pikipiki yatakayotumika kwenye Usimamiaji wa Shughuli za Lishe katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma uliopo Mtumba Mkoani humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa, Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ugawaji wa magari pamoja na pikipiki yatakayotumika katika mpango wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma uliopo Mtumba Mkoani humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali yanayohusiana na Sekta ya Afya na Lishe kabla ya kushiriki hafla ya uwekaji wa saini Mikataba ya Usimamiaji wa Shughuli za Lishe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma 

Makatibu Tawala pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye hafla ya uwekaji wa saini Mikataba ya Usimamiaji wa Shughuli za Lishe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

Wakuu wa Mikoa wakiweka saini Mikataba ya Usimamiaji wa Shughuli za Lishe katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka saini moja ya mikataba ya Usimamiaji wa Shughuli za Lishe katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionesha moja ya mikataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe mara baada ya kuusaini katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

Wakuu wa Mikoa wakiwa kwenye hafla ya uwekaji wa saini mikataba ya Usimamiaji wa Shughuli za Lishe, Mtumba Jijini Dodoma.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here