Home LOCAL RAIS SAMIA AHUTUBIA KATIKA JUBILEE YA MIAKA 50 YA UMOJA WA WANAWAKE...

RAIS SAMIA AHUTUBIA KATIKA JUBILEE YA MIAKA 50 YA UMOJA WA WANAWAKE WAKATOLIKI TANZANIA (WAWATA) JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia bidhaa mbalimbali kwenye mabanda ya Maonesho ya Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) kutoka majimbo mbalimbali nchini mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 11 Septemba, 2022 kwa ajili ya kushiriki Jubilee ya miaka 50 ya Jumuiya hiyo tangu kuanzishwa kwake. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono Wageni mbalimbali pamoja na Wanachama wa Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 11 Septemba, 2022 kwa ajili ya Sherehe za Jubilee ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Maaskofu wa Majimbo mbalimbali ya Kanisa Katoliki wakati wa Jubilee ya miaka 50 ya Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA)  iliyofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Septemba, 2022. 

Matukio mbalimbali katika Jubilee ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) iliyofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 11 Septemba, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Jubilee ya miaka 50 ya tangu kuanzishwa Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) katika Sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Septemba, 2022.

Previous articleRAIS SAMIA KUFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA WANAWAKE NA VIJANA WA (AfCFTA)
Next articleMASHINDANO YA MBIO ZA MGARI YA SAO HILL MISITU AUTO CROSS YAFANA IRINGA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here