Home Uncategorized MWAKINYO APOTEZA PAMBANO,APIGWA TKO

MWAKINYO APOTEZA PAMBANO,APIGWA TKO

Bondia raia wa amepigwa kwa TKO na kupoteza pambano lake dhidi ya Mtanzania Hassan Mwakinyo amepoteza pambano lake dhidi ya Liam Smith raia wa uingereza.

Pambano Hilo limefanyika usiku wa Septemba 1,2022 katika ukumbi wa M & S Arena Jijini Liverpool .

Hassan Mwakinyo alijikuta tupo kwenye wakati mgumu kwenye raundiĀ  ya 4 ya pambano hilo kwa kujikuta na wakati mgumu kama amepata itilafu kwenye mguu na kukaa chini mwenyewe Hali iliyompeleka refa kumaliza pambano hilo raundi ya 4.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here