Home LOCAL MTENDAJI MKUU WA GLOBAL FUND AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI

MTENDAJI MKUU WA GLOBAL FUND AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI

Mtendaji Mkuu wa Global Fund, Mfuko wa kupambana na Virusi vya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria Bw. Peter Sands amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ikiwa ni pamoja na kuona utekelezaji wa afua za mapambano dhidi ya magonjwa hayo.

Bw. Peter Sands amepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. John Jingu pamoja na Dkt. Catherine Joachim Mkuu wa Sehemu ya Maboresho katika na Sekta ya Afya kutoka Wizara ya Afya ambaye anasimamia uboreshaji wa huduma kupitia Miradi ya Global Fund.

Previous articleWAZIRI WA MAMBO YA NJE NORWAY AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA SIKU TATU
Next articleKARANI WA SENSA AONA MITI BADALA YA NYUMBA-TABORA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here