Home SPORTS MHE. ZUNGU AWAPONGEZA VIONGOZI WA WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO YA

MHE. ZUNGU AWAPONGEZA VIONGOZI WA WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO YA

Na: John Mapepele

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Iddi Zungu ameupongeza uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuleta mapinduzi makubwa katika sekta hizo ikilinganishwa na vipindi vilivyopita.

Mhe. Zungu ametoa kauli hiyo bungeni leo Septemba 16, 2022 baada ya Naibu Waziri kumaliza kujibu maswali bungeni.

“Mtu isijuone una mwili mkubwa ukajiona ni boksa mzuri, Mhe Naibu Waziri nakupongeza sana kwa kweli wizara yenu toka umeanza wewe waziri wako na makatibu wakuu wawili mmeleta uhai mkubwa sana kwenye wizara. “ Amesisitiza Mhe. Zungu.

Baadhi ya mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi hiki ni pamoja naMhe. Zungu awapongeza viongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here