Na: Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko amezindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022 nyumba kwa nyumba kwa watoto wote walio chini ya miaka mitano.
Uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu katika Manispaa ya Shinyanga umefanyika katika Mtaa wa Sanjo kata ya Chamaguha ambapo Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko amezindua kwa kutoa matone ya chanjo ya polio kwa watoto walio chini ya miaka mitano nyumba kwa nyumba akiongozana na Kamati ya Uratibu wa Chanjo Wizara ya Afya na Manispaa ya Shinyanga.
Akizungumza wakati akitoa chanjo ya polio nyumba kwa nyumba, Mboneko amewashukuru wazazi chanjo watoto ili kuwakinga na ugonjwa wa Polio huku akiwapongeza viongozi wa ngazi zote kwa uhamasishaji wa kutosha juu ya umuhimu wa kuwapatia chanjo ya polio watoto.
“Leo tumezindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu itakayofanyika siku nne kuanzia leo Septemba 1 hadi 4,2022. Chanjo hii ni ya matone siyo ya sindano. Chanjo hii ni salama na inatolewa bure. Walengwa wa kampeni ya chanjo ya Polio katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga ni watoto 88,376 na Manispaa ya Shinyanga 44,013”,amesema Mboneko.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akizungumza leo Alhamisi Septemba 1,2022 wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022 nyumba kwa nyumba kwa watoto wote walio chini ya miaka mitano. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog.
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga (wa nne kulia) akizungumza jambo na Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko (katikati aliyevaa kofia nyeusi) wakielekea nyumba kwa nyumba katika kata ya Sanjo Manispaa ya Shinyanga wakati kwa ajili ya kutoa chanjo ya polio wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022 nyumba kwa nyumba kwa watoto wote walio chini ya miaka mitano.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akipaka mikono vitakasa mikono kwa ajili ya kutoa matone ya chanjo kwa watoto katika kata ya Sanjo Manispaa ya Shinyanga wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022 nyumba kwa nyumba kwa watoto wote walio chini ya miaka mitano.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akiangalia matone ya chanjo kabla ya kuanza kutoa matone ya chanjo kwa watoto katika kata ya Sanjo Manispaa ya Shinyanga wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022 nyumba kwa nyumba kwa watoto wote walio chini ya miaka mitano.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akitoa chanjo ya polio kwa mtoto katika kata ya Sanjo Manispaa ya Shinyanga wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022 nyumba kwa nyumba kwa watoto wote walio chini ya miaka mitano.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akifurahia na mtoto baada ya kumpatia chanjo ya polio wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022 nyumba kwa nyumba kwa watoto wote walio chini ya miaka mitano.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akitoa chanjo ya polio kwa mtoto katika kata ya Sanjo Manispaa ya Shinyanga wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022.

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akipeana tano na mtoto baada ya kumpatia chanjo ya polio katika kata ya Sanjo Manispaa ya Shinyanga wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akitoa chanjo ya polio kwa mtoto katika kata ya Sanjo Manispaa ya Shinyanga wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akijaza kitabu cha kumbukumbu baada ya kutoa chanjo ya polio katika kata ya Sanjo Manispaa ya Shinyanga wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akiweka alama kwenye nyumba baada ya kutoa chanjo ya polio kwa watoto katika kata ya Sanjo Manispaa ya Shinyanga wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akitoa chanjo ya polio kwa mtoto katika kata ya Sanjo Manispaa ya Shinyanga wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akiweka alama kwenye nyumba baada ya kutoa chanjo ya polio kwa watoto katika kata ya Sanjo Manispaa ya Shinyanga wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akitoa chanjo ya polio kwa mtoto katika kata ya Sanjo Manispaa ya Shinyanga wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akitoa chanjo ya polio kwa mtoto katika kata ya Sanjo Manispaa ya Shinyanga wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akitoa chanjo ya polio kwa mtoto katika kata ya Sanjo Manispaa ya Shinyanga wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022.
Watoto waliopata chanjo ya polio katika kata ya Chamaguha Manispaa ya Shinyanga wakiangalia Nembo yenye picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan iliyopo kwenye nguo ya Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akipiga picha ya pamoja na sehemu ya watoto waliopewa chanjo ya polio katika kata ya Sanjo Manispaa ya Shinyanga wakati akizindua Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022.
Mwenyekiti wa Kamati ya Afya Zahanati ya Chamaguha Manispaa ya Shinyanga, Noela Irege akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022.
Mkazi wa Chamaguha, Maimuna Ramadhani akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akipiga picha ya pamoja na timu ya waratibu wa Chanjo ya Polio Manispaa ya Shinyanga wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko akipiga picha ya pamoja na timu ya waratibu wa Chanjo ya Polio Manispaa ya Shinyanga na Wizara ya Afya wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Polio kwa awamu ya tatu iliyoanza rasmi leo Septemba 1 hadi Septemba 4 ,2022.
Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog