Home LOCAL BUNGE 22.9.2022

BUNGE 22.9.2022

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mikumi Denis Lazaro, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 22.2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipiga Kura kuchagua `Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 22.2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Chande, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 22.2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya RaisĀ  Ikulu (Kazi Maalum), George Mkuchika, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 22.2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here