Home BUSINESS BoT KATIKA MAONESHO YA MADINI YA GEITA

BoT KATIKA MAONESHO YA MADINI YA GEITA

Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Mhe. Jamhuri David William, akiweka saini katika kitabu cha wageni alipotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwenye Maonesho ya Tano ya Biashara ya Madini yanayofanyika kitaifa mkoani Geita kuanzia tarehe 27 Septemba hadi 10 Oktoba 2022.

Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Mhe. Jamhuri David William, akielezea jambo alipotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwenye Maonesho ya Tano ya Biashara ya Madini yanayofanyika kitaifa mkoani Geita. Afisa kutoka Bodi ya Bima ya Amana (DIB), Bi. Rukia Muhaji, akifafanua jambo kuhusu namna DIB inakinga amana za wateja wa mabenki nchini kwa Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Mhe. Jamhuri David William (kulia) alipotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwenye Maonesho ya Tano ya Biashara ya Madini yanayofanyika kitaifa mkoani Geita.

Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Mhe. Jamhuri David William (kulia) akipewa maelezo na Afisa kutoka Kurugenzi ya Usimamizi wa Mifumo ya Malipo ya Taifa, Bw. Edgar Mwakasitu, kuhusu namna Benki Kuu ya Tanzania inasimamia mifumo ya malipo ya taifa nchini alipotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwenye Maonesho ya Tano ya Biashara ya Madini yanayofanyika kitaifa mkoani Geita.

Previous articleJUHUDI ZA RAIS SAMIA ZAIPELEKA MBELE SEKTA YA MADINI
Next articleSERIALI INAENDELEA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NCHINI: DKT. KIJAJI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here