Home LOCAL BALOZI MULAMULA APOKEA BARUA ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA KONSELI MKUU WA KENYA...

BALOZI MULAMULA APOKEA BARUA ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA KONSELI MKUU WA KENYA JIJINI DAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb.), amekutana na kupokea barua za utambulisho kutoka kwa Konseli Mkuu wa Kenya mwenye makazi yake Arusha, Bw. Dennis Mburu katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.

Baada ya kupokea barua za utambulisho kutoka kwa Bw. Mburu Balozi Mulamula amemuahidi ushirikiano kutoka Serikalini wakati wote wa utekelezaji wa majukumu yake hapa nchini.
Pamoja na mambo mengine, viongozi hao wamejadili masuala ya biashara na uwekezaji pamoja na utalii.

Previous articleTANZANIA NA VENEZUELLA ZATILIANA SAINI KUANZISHA USHIRIKIANO WA KISIASA NA NYANJA MBALIMBLI JIJINI DAR
Next articleKUTOKA MAGAZETINI ASUBUHI YA LEO JUMANNE SEPTEMBA 6-2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here