Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UJUMBE WA...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UJUMBE WA TAASISI YA IYILIK DERNEGI KUTOKA NCHINI UTURUKI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Ujumbe wa Taasisi ya Iyilik Dernegi kutoka Nchini Uturuki ukiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Bw.Metin Calbay, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi ya Iyilik Dernegi kutoka Nchini Uturuki Bw. Metin Calbay , alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Taasisi ya Iyilik Dernegi kutoka Nchini Uturuki, ukiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Bw.Metin Calbay.(kulia kwa Rais)  mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Taasisi ya Iyilik Dernegi kutoka Nchini Uturuki ukiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Bw. Metin Calbay (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-9-2022.(Picha na Ikulu).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here