TMDA
Home Uncategorized YANGA YATWAA UBINGWA WA NGAO YA JAMII

YANGA YATWAA UBINGWA WA NGAO YA JAMII

MABINGWA wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara Timu ya Yanga imepindua meza baada ya kuongozwa bao mpaka kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya watani zao Simba mchezo wa Ngao ya Jamii ya kuashiria kufunguliwa kwa pazia la Ligi Kuu mechi iliyopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam.


Simba walikuwa wa kwanza kupata bao dakika ya 15 likifungwa na Kiungo Mshambuliaji Pape Sakho akipokea pasi Clatous Chama hadi mapumziko Simba walienda wakiwa wako mbele ya bao moja.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea YANGA YATWAA UBINGWA WA NGAO YA JAMII