Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akikata utepe kuashiria kuzindua Huduma za Mawasiliano ya Intaneti kupitia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika kituo cha Horombo kilichopo katika Mlima Kilimanjaro
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akishiriki mkutano kupitia njia ya video na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongela baada ya kuzindua Huduma za Mawasiliano ya Intaneti kupitia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika kituo cha Horombo kilichopo katika Mlima Kilimanjaro