Home LOCAL WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATETA NA WAZIRI MKUU WA JAPAN

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATETA NA WAZIRI MKUU WA JAPAN

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida kwa njia ya mitandao kwenye ukumbi wa Palais des Congres, jijini Tunis, Tunisia Agosti 27, 2022. Mheshimiwa Majaliwa amemshukuru Waziri Mkuu wa Japan  kwa misaada ambayo nchi yake inaipatia Tanzania ili kuleta unafuu kwenye maisha ya Watanzania. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here