Home Uncategorized RAIS DK.HUSSSEIN MWINYI AHUTUBIA KILELE CHA SIKU YA VIJANA KIMATAIFA UKUMBI WA...

RAIS DK.HUSSSEIN MWINYI AHUTUBIA KILELE CHA SIKU YA VIJANA KIMATAIFA UKUMBI WA SHEIKH IDRISA ABDULWAKIL KIKWAJUNI UNGUJA JIJINI ZANZIBAR.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022.(Picha na Ikulu)


WAZIRI Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 12-8-2022, kabla ya kumkaribia mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuhutubia katika hafla hiyo.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya Picha Maalum Iliyotengenezwa na Vijana wa Zanzibar, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Vijana Kimataifa, akikabidhiwa na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita na (kulia kwa Waziri) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.(Picha na Ikulu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here