Home SPORTS SIMBA QUEENS YATWAA UBINGWA WA CECAFA 2022

SIMBA QUEENS YATWAA UBINGWA WA CECAFA 2022

TIMU ya Simba Queens wametwa ubingwa wa Michuano ya CECAFA Women 2022 na kufuzu moja kwa moja Ligi ya Mabingwa barani Africa baada ya kuichapa bao 1-0 She Corporates kutoka Uganda.

Bao pekee na la ushindi la Simba Queens limefungwa na Mshambuliaji wao hatari kutoka nchini Kenya Vivian Corazone dakika ya 49 kwa  mkwaju wa Penalt 

Kwa ushindi huo imba Queens watashiriki  Mashindano ya Klabu Bingwa Africa,yatakayofanyika nchini Morocco.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here