Mgombea wa kiti cha Urais kupitia Chama cha UDA nchini Kenya William Ruto ameshinda kiti hicho na kutangazwa rasmi kuwa Rais mteule wa Taifa hilo.
Ruto amepata ushindi huo kwa kura 7,176,141 dhidi ya mpinzani wake Raila Odinga aliyepata kura 6,942930.
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Wafula Chebukati amemtangaza Ruto kuibuka mshindi kwa asilimia 50.49 dhidi ya 48.85.alizopata Odinga