Home LOCAL RC SHIGELLA ASHIRIKI ZOEZI LA SENSA KWENYE MAKAZI YAKE GEITA

RC SHIGELLA ASHIRIKI ZOEZI LA SENSA KWENYE MAKAZI YAKE GEITA

Mkuu wa mkoa wa Geita Mhe, Martini Shigella akizungumza na karani wa sensa ya watu na makazi Shabani Athumani baada ya kuhesabiwa yeye pamoja na familia yake nyumbani kwake leo asubuhi mtaa wa Nyanza Mjini Geita.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here