Home LOCAL RAIS SAMIA AHESABIWA KATIKA MAKAZI YAKE IKULU YA CHAMWINO DODOMA

RAIS SAMIA AHESABIWA KATIKA MAKAZI YAKE IKULU YA CHAMWINO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Karani wa Sensa Phausta Ntigiti wakati alipokuwa akihesabiwa katika Makazi yake Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2022 kwenye shughuli ya Sensa ya Watu na Makazi. 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here