Home LOCAL MAKAMU WA RAIS AKIHESABIWA SENSA

MAKAMU WA RAIS AKIHESABIWA SENSA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango pamoja na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakizungumza na Karani wa Sensa Isack Mgosho wakati walipokuwa wakihesabiwa katika Makazi yao Chanika Jijini Dar es salaam leo tarehe 23 Agosti 2022 kwenye Shughuli ya Sensa ya Watu na Makazi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here