Home LOCAL KATIBU MKUU CHONGOLO ASHIRIKI ZOEZI LA SENSA

KATIBU MKUU CHONGOLO ASHIRIKI ZOEZI LA SENSA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Karani wa Sensa ya Watu na Makazi Bi. Faith Buruhani (kushoto) wakati wa kuhesabiwa kwenye makazi yake Msasani jijini Dar es salaam leo tarehe 23, Agosti 2022. (Picha na Adam H. Mzee/ CCM Makao Makuu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here