Home BUSINESS HABARI PICHA: UMAHIRI WA VETA KATIKA KUIBUA VIPAJI VYA VIJANA

HABARI PICHA: UMAHIRI WA VETA KATIKA KUIBUA VIPAJI VYA VIJANA

Patrick Mbembela Mvumbuzi kutoka kijiji cha Isangara Mbeya vijijini aliyeunda gari yake inayotumia petroli akitoa maelezo  kwa wananchi mbalimbali waliofika kwenye banda la Veta katika Maonesho ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika kwenye uwanja wa John Mwakngale jijini Mbeya.Patrick Mbembela Mvumbuzi kutoka kijiji cha Isangara Mbeya vijijini aliyeunda gari yake inayotumia petroli akitoa maelezo kwa kwa wananchi mbalimbali waliofika kwenye banda la Veta katika Maonesho ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika kwenye uwanja wa John Mwakngale jijini Mbeya

Wananchi mbalimbali wakionekana kuvutiwa na ubunifu wa kijana Patrick Mbembela aliyetengeneza hili gari lake.

Wananchi mbalimbali wakitembelea katika banda la VETA kwenye maonesho hayo.

Martin Choma Mwalimu Mwandamizi Chuo cha Ufundi Stadi VETA Dar es Salaam akitoa maelezo kwa wageni mbalimbali kutoka nje ya nchi na ndani ya nchi waliotembelea katika banda la VETA kwenye Maonesho ya Kilimo ya Nanenane 2022 ambayo kitaifa yanafanyika kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya maonesho hayo yatafikia kilele chake Jumatatu Agosti 8,2022.

Martin Choma Mwalimu Mwandamizi Chuo cha Ufundi Stadi VETA Dar es Salaam akitoa maelezo kwa wageni mbalimbali kutoka nje ya nchi na ndani ya nchi waliotembelea katika banda la VETA kwenye Maonesho ya Kilimo ya Nanenane 2022 ambayo kitaifa yanafanyika kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya maonesho hayo yatafikia kilele chake Jumatatu Agosti.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here