Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa, akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa GS1 Bi. Clementina Kahamba, kuhusu masuala ya Msimbomilia alipotembelea banda hilo mapema leo, kwenye Maonesho ya Wakulima ya Nanenane yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa (kulia) akizungumza na watumishi wa bodi ya mkonge Tanzania alipofika katika banda hilo kujionea shughuli zinazofanywa na Bodi hiyo katika maoneho ya Nanenane yanayofanyika Jijini Mbeya.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa (kushoto) akimuuliza swali Afia kutoka Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) alipotembelea katika Banda la wakala huyo kuona shughuli zao. (katikati) ni, Mkurugenzi mtendaji wa Tanzania Horticultural Association (TAHA), Dkt. Jaquelin Mkindi.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa katikati na Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Horticultural Association (TAHA), Dkt. Jaquelin Mkindi wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Bw. Mikalu Mapunda walipotembelea banda la taasisi hiyo katika Maonesho ya Kilimo-Nane Nane yanayofanyika Kitaifa kwenye viwanja vya John Mwakangale mkoa wa Mbeya.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa katikati na Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Horticultural Association (TAHA), Dkt. Jaquelin Mkindi wakimsikiliza Mkurugenzi wa Masoko wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Bw. Mikalu Mapunda wakati akiwafafanulia jambo walipotembelea banda la taasisi hiyo katika Maonesho ya Kilimo-Nane Nane yanayofanyika Kitaifa kwenye viwanja vya John Mwakangale mkoa wa Mbeya.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Horticultural Association (TAHA), Dkt. Jaquelin Mkindi akizungumza jambo huku Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa na Mkurugenzi wa Masoko wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Bw. Mikalu Mapunda wakimsikiliza walipotembelea katika banda hilo,