Home BUSINESS WATAALAMU WA BoT WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI SABASABA

WATAALAMU WA BoT WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI SABASABA

Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Kurugenzi ya Huduma za Kibenki, Bi. Crispina Nkya akitoa elimu kuhusu namna noti zilichokaa kutokana na utunzaji mbaya zinavyoharibiwa kwa mwananchi aliyetembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Mchambuzi wa Mifumo ya Malipo BoT, Bw. Revocatus Kishimba akitoa elimu kuhusu namna BoT inasimamia Mifumo ya Malipo ya Taifa kwa mwananchi aliyetembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Mkaguzi wa Mabenki Mwandamizi, Bw. Gideon Rwegoshora, akifafanua jambo kuhusu BoT inavyosimamia wa sekta ya fedha nchini kwa mwananchi aliyetembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Meneja Msaidizi Masomo ya Muda Mfupi, Chuo cha BoT, Bi. Tulla Mwigune, akitoa elimu kuhusu historia ya sarafu zinazochapichwa na BoT kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Beroya walipotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Mchumi Mwandamizi BoT, Bi. Anjelina Mhoja, akitoa elimu kuhusu uchumi wa Tanzania kwa mwananchi aliyetembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam.


Afisa Uhusiano wa Umma na Itifaki BoT, Bw. Daniel Mlimuka, akizungumza na mwananchi aliyetembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam.


Afisa Sheria kutoka BoT, Bw. Ramadhani Myonga, akifafanua jambo kuhusu Dawati la Utatuzi wa Matatizo ya Wateja wa Huduma za Kibenki kwa mwananchi aliyetembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Previous articlePROF: KAHYARARA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA KENYA YAONGEZEKA
Next articleMAGAZETI YA LEO ALHAMISI JULAI 7-2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here