Home BUSINESS TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA MILIKI UBUNIFU DUNIANI

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA MILIKI UBUNIFU DUNIANI

Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa na Mashirika ya Kimataifa, Geneva Uswisi, Mhe.  Maimuna Kibenga Tarishi (katikati), katika Mkutano Mkuu wa 63 wa Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (WIPO), unaofanyika Geneva Uswisi. Kutoka kushoto ni Msajili Msaidizi Mkuu wa BRELA  Bi. Loy Mhando, Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA  Bw. Godfrey Nyaisa, Mkurugenzi Mtedaji wa Wakala wa Usajili wa Bishara na Mali,  (BPRA) Zanzibar, Bi. Mariam Mliwa Jecha  na  Mkuu wa Idara ya Uraghbishi wa Ushindani kutoka  wa Tume ya Ushindani (FCC) Bi. Magdalena  Utouh.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here