Home LOCAL SHEREHE ZA UFUNGUZI WA MAONESHO YA 17 YA ELIMU YA JUU SAYANSI...

SHEREHE ZA UFUNGUZI WA MAONESHO YA 17 YA ELIMU YA JUU SAYANSI NA TEKNOLOJIA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mfano wa jengo, kwenye banda la Chuo Kikuu cha Ardhi, wakati alipofungua Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia ndege isiyokua na rubani inayotumika kupiga picha za anga kwa ajili ya kuandaa ramani za msingi zinazowezesha kupanga miji, wakati alipofungua Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam .


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia kompyuta mpakato inayotumia mwanafunzi ya Chuo Kikuu Huria, mwenye uono hafifu Bernadeta Msigwa kwa kuandikia vitabu, wakati alipofungua Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea ngao ya shukrani kwa kufungua Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam . Julai 19, 2022. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, Profesa Charles Kihampa.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi waliohudhuria katika ufunguzi wa Maonesho ya 17 ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam . Julai 19, 2022.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Previous articleSERIKALI YAOMBWA KUTOWAPA TICTS MKATABA MPYA
Next articleWAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MAONESHO YA 17 YA ELIMU YA JUU SAYANSI NA TEKNOLOJIA JIJINI DAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here