Home LOCAL RAIS MHE SAMIA ASHUHUDIA TUKIO LA UWEKAJI WA SAINI MKATABA WA UJENZI...

RAIS MHE SAMIA ASHUHUDIA TUKIO LA UWEKAJI WA SAINI MKATABA WA UJENZI WA RELI YA KISASA KIPANDE CHA NNE KUTOKA TABORA -ISAKA KM 165

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa kipande cha nne kutoka Tabora- Isaka km 165 katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Julai, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa kipande cha nne kutoka Tabora- Isaka km 165 katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Julai, 2022. Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TRC Masanja Kadogosa akisaini Mkataba pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Yapi Merkez Bw. Aslan Uzun

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini Mkataba wa Mhandisi Mshauri kwa ajili ya kutoa mafunzo ya uendeshaji wa Reli ya Kisasa (SGR). Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TRC Masanja Kadogosa akiweka saini pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa KORAIL Bw. Park Tae-hun kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya utiaji Saini Mkataba wa mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR kipande cha kutoka Tabora hadi Isaka na Mkataba wa Mhandisi Mshauri kwa ajili ya kutoa mafunzo ya uendeshaji wa Reli ya Kisasa (SGR)

Previous articleWAZIRI KIJAJI AITAKA KAMPUNI YA GF TRUCKS KUONGEZA NGUVU NA KASI KATIKA UWEKEZAJI
Next articleKUNDI LA BNA KUWASHA MOTO JUALAI 9 SINGIDA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here