Home LOCAL RAIS DKT. MWINYI AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA MAGHARIBI “B ”...

RAIS DKT. MWINYI AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA MAGHARIBI “B ” UNGUJA

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwananchi wakati wa ziara yake baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi Hospitali ya Wilaya ya Magharibi “B” Unguja inayojengwa katika eneo la Mwanakwerekwe Ijitimaa ya zamani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 17-7-2022.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiondoa Pazi kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa  Hospitali ya Wilaya ya Magharibi “B” Unguja inayojengwa katika eneo la Mwanakwerekwe Ijitima, akiwa katika ziara yake leo 17-7-2022,kushoto Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, na (Kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana .(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa n a Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, akitembelea Jengo la Hospitali ya Wilaya ya Magharini “B” Unguja, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Hospitali hiyo, akiwa katika ziara yake katika Wiliya ya Magharibui”B” Unguja leo 17-7-2022.(Picha na Ikulu).

WAZIRI wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui akizungumza katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Hospitali ya Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, inayojengwa katika eneo la Mwanakwerekwe Ijitimaa ya zamani.(Picha na Ikulu)

MUONEKANO wa Jengo la Hospitali ya Wilaya ya Magharibi “B” Unguja. 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kabla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi huo, kutoka kwa Mhandishi wa Wizara ya Afya Zanzibar Ndg. Ali Said  Bakari na (kushoto kwa Rais ) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Hafidh, akiwa katika ziara yake Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 17-7-2022.(Picha na Ikulu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here