Home SPORTS NIC YADHAMINI NA KUSHIRIKI KOROSHO MARATHON MTWARA

NIC YADHAMINI NA KUSHIRIKI KOROSHO MARATHON MTWARA

NIC Insurance imedhamini na kushiriki Mbio za Korosho Marathon ili kuchangia kufanikisha upatikanaji wa fedha ambazo zitaenda kununulia mashine za kubangulia korosho kwa wabanguaji wadogo ikiwa ni sehemu ya sera ya NIC kurudisha katika jamii ambapo katika mbio hizo Mgeni Rasmi alikua Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack. @koroshomarathon_Endelea kufurahia huduma nzuri kutoka NIC – Pakua App ya NIC kiganjani Kwa kubofya link kwenye BIO ya @nic_tanzania #JikaveNaNIC #sisindiyobima.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here