Home BUSINESS MTENDAJI MKUU BRELA AKABIDHI VYETI VYA USAJILI KWA WAFANYABIASHARA SABASABA

MTENDAJI MKUU BRELA AKABIDHI VYETI VYA USAJILI KWA WAFANYABIASHARA SABASABA

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Usajili wa Majina ya Biashara na Leseni (BRELA) Bw.Godfrey Nyaisa kulia na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Bi. Latifa Khamis wakimkabidhi Cheti cha Usajili wa Jina la Biashara Bw.Hussein Mustaali Lukmanjee jana kwenye maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

Afisa MtendajiMkuu wa Mamlaka ya Usajili wa Majina ya Biashara na Leseni (BRELA) Bw.Godfrey Nyaisa akimkabidhi Cheti cha Usajili wa Jina la Biashara Bi. Mariam Kihelelo jana kwenye maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Usajili wa Majina ya Biashara na Leseni (BRELA) Bw.Godfrey Nyaisa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa taasisi hiyo kwenye maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Usajili wa Majina ya Biashara na Leseni (BRELA) Bw.Godfrey Nyaisa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa taasisi hiyo kwenye maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

Previous articleTIC YATOA TATHIMINI YA MAONESHO YA SABASABA 2022, YATANGAZA MAFANIKIO YA MFUMO MPYA WA ‘ELECTONICS INVESTIMENT WINDOW’
Next articleMAGAZETI YA LEO JUMATANO JULAI 13,2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here