Home SPORTS METACHA KIPA MPYA SINGIDA BIG STARS

METACHA KIPA MPYA SINGIDA BIG STARS

 

Mwandishi wetu 

TIMU ya Singida Big Stars imemsajili kipa namba mbili wa timu ya taifa, Metacha Boniphace Mnata kutoka Singida Big Stars kwa mkataba wa miaka miwili.

Mnata anakuwa mchezaji mpya wa tano Singida Big Stars baada ya Abdulmajid Mangalo kutoka Biashara United, Aziz Andambwile kutoka Mbeya City, Paul Godfrey ‘Boxer’ kutoka Yanga na Kelvin Sabato kutoka Mtibwa Sugar.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here