Home LOCAL CHUO KIKUU MZUMBE CHAFANYA UDAHILI WA PAPO KWA HAPO MAONESHO YA TCU...

CHUO KIKUU MZUMBE CHAFANYA UDAHILI WA PAPO KWA HAPO MAONESHO YA TCU JIJINI DAR

Mkuu wa Kitengo Cha Mawasiliano na Masoko wa Chuo Kikuu Cha Mzumbe Bi. Rose Joseph, akitoa maelezo kwa Mwanafunzi  Bw. Richardson Pilot aliyetembelea Banda la Chuo Kikuu Mzumbe. Kulia ni mzazi wa Mwanafunzi,  Bw. Tito Pilot akisikiliza Kwa makini maelezo ya kozi zinazotolewa na Chuo hicho kwa mwaka wa masomo 2022/23. Maelezo hayo yametolewa kwenye Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, katika maonesho ya Vyuo Vikuu yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,  yanayoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU.

Dr Edith Ndunguru Mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe  akitoa maelezo ya kozi zinazotolewa na Chuo hicho kwa mwaka wa masomo 2022/23 Kwa wanafunzi  kwenye Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, katika maonesho ya Vyuo Vikuu yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,  yanayoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU.

Wanafunzi mbalimbali wakipitia  Kwa makini maelezo ya kozi zinazotolewa na Chuo hicho kwa mwaka wa masomo 2022/23. kwenye Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, katika maonesho ya Vyuo Vikuu yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,  yanayoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU.

Joseph Kiphizi Afisa TEHAMA Chuo Kikuu Mzumbe na Phabia Mnyenyelwa  TEHAMA  wakihakikisha Kila kitu kinakwenda sawa katika Udahili Kwa wanafunzi katika maonesho hayo.

Felista Tibamanya  Mhadhiri Msaidizi Chuo Kikuu Cha Mzumbe Akifuatilia wakati wanafunzi wakipitia  Kwa makini maelezo ya kozi zinazotolewa na Chuo hicho kwa mwaka wa masomo 2022/23. kwenye Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, katika maonesho ya Vyuo Vikuu yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,  yanayoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU.

Felista Tibamanya  Mhadhiri Msaidizi Chuo Kikuu Cha Mzumbe Akifuatilia wakati  Wanafunzi wakijaza fomu za Udahili  Kwa makini Kwa ajili ya kujiunga na kozi zinazotolewa na Chuo hicho kwa mwaka wa masomo 2022/23.kwenye Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, katika maonesho ya Vyuo Vikuu yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,  yanayoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU.

Afisa Udahili Chuo Kikuu Mzumbe Mr.Nringi Urassa akitoa maelezo ya kozi zinazotolewa na Chuo hicho kwa mwaka wa masomo 2022/23.kwa wanafunzi waliotembelea  kwenye Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, katika maonesho ya Vyuo Vikuu yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,  yanayoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU.

Isaac Msengi Afisa Udahili Chuo Kikuu MZUMBE akitoa maelezo ya kozi zinazotolewa na Chuo hicho kwa mwaka wa masomo 2022/23 Kwa wanafunzi kwenye Banda la Chuo Kikuu Mzumbe, katika maonesho ya Vyuo Vikuu yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,  yanayoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU.

Mmoja wa wanafunzi waliofika kwenye Banda Hilo Chuo Kikuu Mzunbe akisikiliza Kwa makini maelezo ya kozi zinazotolewa na Chuo hicho kwa mwaka wa masomo 2022/23, kutoka Kwa maofisa Udahili wa Chuo hicho katika maonesho ya Vyuo Vikuu yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, yanayoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here