Home BUSINESS BRELA YAKABIDHI VYETI SABASABA

BRELA YAKABIDHI VYETI SABASABA


Kaimu Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Makampuni na Majina ya Biashara kutoka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Mainrad Rweyemamu (kushoto), akikabidhi vyeti kwa baadhi ya wadau waliokamilisha tararibu za usajili wa majina ya biashara, katika Maonesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa, yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam. BRELA inashiriki katika maonesho hayo kwa kutoa elimu ya urasimishaji wa biashara, sambamba na usajili wa papo kwa papo.

Previous articleMH.SIMBACHAWENE, AWAPONGEZA WANANCHI WA KIBAKWE KWA KUJIKITA KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO
Next articleSHAKA ATEMBELEA BANDA LA BRELA MAONESHO YA SABASABA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here