Home LOCAL 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 TANGAZO LA KUITWA KAZINI – AJIRA ZA WIZARA YA AFYA

🇹🇿🇹🇿🇹🇿 TANGAZO LA KUITWA KAZINI – AJIRA ZA WIZARA YA AFYA

Wizara ya Afya inapenda kuwataarifu waombaji wa ajira za kada za afya zilizotangazwa kwenye Tovuti ya Wizara ajira.moh.go.tz tarehe 16 Aprili, 2022 hadi tarehe 03 Mei, 2022 kwamba zoezi la uchambuzi wa maombi ya kazi yaliyopokelewa limekamilika.

Bofya kwenye kiunganishi hapo chini kupakua Tangazo na kupata orodha ya majina ya watumishi ajira mpya.
👇🏾

https://www.moh.go.tz/storage/app/uploads/public/62b/e1c/551/62be1c551a3fc108952493.pdf

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here