Home SPORTS YANGA YAMALIZA LIGI BILA KUFUNGWA

YANGA YAMALIZA LIGI BILA KUFUNGWA


MWANDISHI WETU

MABINGWA, Yanga SC wamemaliza Ligi Kuu ya Tanzania Bara vizuri kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Bao pekee la Yanga limefungwa na winga Dennis Nkane na kwa matokeo hayo wanamaliza na pointi 74, wakiwazidi pointi 13 mabingwa wa misimu minne iliyopita, Simba SC.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here