Home LOCAL WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA KUSHUHUDIA ZOEZI LA WANANCHI WANAOHAMA KWA HIARI YAO...

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA KUSHUHUDIA ZOEZI LA WANANCHI WANAOHAMA KWA HIARI YAO NGORONGORO, LOLIONDO LEO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 23, 2022 amefanya ziara ya siku moja katika mkoa wa Arusha na Tanga ambapo atashuhudia zoezi la awamu ya pili la wananchi wapatao 117 kutoka kaya 27 wanaohama kwa hiari yao wenyewe kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelakea kijiji cha Msomera, Handeni.

Aidha Mheshimiwa Majaliwa atakagua alama zilizowekwa kubainisha eneo la hifadhi ya pori tengefu la Loliondo la Kilometa za mraba 1500.
 
Pia Mheshimiwa Majaliwa atakagua Makazi na miundombinu iliyopo katika makazi mapya watakayohamia wananchi hao zikiwemo  huduma za kijamii katika kijiji cha Msomera, Handeni mkoani Tanga.
 
Previous articleWAUZAJI WA MAGAZETI RUKSA KUFANYA BIASHARA JIJINI DAR
Next articleNEC WAPITISHA MAPENDEKEZO YA BIMA YA AFYA KWA WOTE
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here